Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Coolen Rooney ni mke wa staa wa club ya Everton Wayne Rooney ambaye kwa juzi aliripotiwa kuingia matatani kwa kuendesha gari akiwa amelewa, Coolen ambaye ni mama wa watoto watatu, leo kwa mujibu wa post yake anadaiwa alitoka na watoto wake.
Coolen Rooney na watoto wake
Mke wa Rooney alitoka na watoto wake watatu wakiwa katika gari lakini alihisi ama kugundua kuwa anafuatiliwa na wapiga picha ambao kwa kiasi kikubwa wanadhaniwa kuwa ni mapaparazi, baada ya kuhisi hivyo alitumia ukurasa wake wa twitter kuandika.

“Tafadhari wapiga picha mnaweza kutuheshimu na kuacha kutufuatilia mimi na watoto wangu watatu kwenye gari, hii ni hatari”>>>Coolen Rooney


Kama utakuwa unakumbuka vizuri Wayne Roone na Coolen ambaye wamezaa nae watoto watatu, wanatarajiwa kupata mtoto wa nne hiyo ni kwa mujibu wa post ya Wayne Rooney aliyopost wiki kadhaa zilizopita kupitia katika ukurasa wake wa instagram.

Wayne Rooney na mkewa Coolen Rooney

Post a Comment

 
Top