Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ameongea na wanahabari leo na kueleza kinachoendelea juu ya afya ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema ni kweli wamempokea na amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoama baada ya kajeruhiwa kwa risasi. Amesema wanaoruhusiwa kumuona kwa sasa ni wahudumu wa afya wa hospitalini hapo na taarifa kamili zaidi atazileta baadaye.

Post a Comment

 
Top