Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwanadada maarufu wa mchezo wa Tenesi Serena William ameweza kuonesha picha ya kwanza ya mtoto wake wa kike.Star huyo amepost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mtto wake kwa mara ya kwanza ambapo pia ameweka wazi jina la mtoto wake na amemuuita Olimpia Alexis Ohanian.
Mwanadada huyo na mchumba ake Alexis walipata mtoto Septemba Mosi mwaka hukoo huko florida.

Post a Comment

 
Top