Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Drama kati ya Zari The Boss Lady na baba watoto wake Diamond Platnumz inaendelea na usiku wa kuamkia 9/15/2017 Baby Mama huyu ameshindwa kuvumilia na kuweka matusi kwenye picha ya Baby daddy wake.

Kama umepitwa, naomba nikufahamishe kuwa hivi karibuni palikuwa na stori ya kimbea sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Diamond alikutana na mshindi wa Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews huko Zanzibar na kwamba walikuwa pamoja na kula bata.

Taarifa hizi zilimfikia Zari ila mpaka leo hakutoa POVU lolote mpaka ilipowekwa picha ya Diamond akiogelea, Picha hii iliwekwa na mpiga picha wa Diamond ‘Kifesi’ HAPOChini unaona Alama ya KIDOLE CHA KATI Kutoka kwenye Account Ya Zari.

Zari aliendelea kutoa kauli tofauti kwenye SnapChat yake kuhusu kugombana na mwanaume badala ya kutafuta pesa.

B

Post a Comment

 
Top