Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wikiendi iliyopita tumeshuhudia mastaa kadhaa wakijitokeza katika uzinduzi wa filamu ya ‘Heaven Sent’ya mwanadada Wema Sepetu. Hii ikadhihirisha kuwa sasa wabunifu wetu wameamia katika magauni hayo yanayopendwa na wanawake wengi kwa sasa.

Magauni ya kuburuzika yameendelea kunogeshwa kwa kuwekewa mkia kama tausi, pia yameongezewa urembo ambao huwa na vito vya kuwaka ama urembo wa kitambaa chepesi aina ya lesi inayoonyeha mwili.

Post a Comment

 
Top