Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA,
rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana. Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.

Post a Comment

 
Top