Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Madaktari kutokea hospitali iliyopo nchini India Gujarat jimbo la Magharibi wamekutana na maajabu ya meno saba kwa mtoto wa mwezi mmoja,
Meno hayo yaligunduliwa siku chache baada ya kuzaliwa, na ndipo wazazi wa mtoto huyo walipo mpeleka kwa daktari kutokana na matatizo ya kunyonya maziwa ya mama. Na pia madaktari hao wanasema kwa sasa upasuaji umeshafanyika na kuondoa meno yote na anaweza kunyonya vyema, na wameongezea kuwa upasuaji huo unawapa wasiwasi kuhusu uotaji wa meno kwa baadae.

Post a Comment

 
Top