Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa LeBron James.
TAARIFA kuwa staa LeBron James anataka kuondoka kwenye timu yake ya sasa Cavaries imeendelea kuwashtua wengi huku wakihoji kama atacheza pamoja na Russell Westbrook wa Oklohoma City.James ambaye anamiliki nyumba eneo la Los Angeles ameelezwa kuwa anaweza kujiunga na Lakers baada ya kumalizika msimu huu.Bado hajasema rasmi anataka kwenda wapi lakini sehemu ambayo amekuwa akitajwa sana kuwa anaweza kwenda ni Lakers ambapo ataonekana kuwa supastaa.Taarifa zimekuwa zikisema kuwa kama staa huyo atajiunga na Lakers, ataungana na Paul George, lakini wengi wanauliza vipi kuhusu staa Russell Westb-rook ambaye James amekuwa akitaka kucheza naye.Wawili hao walikuwa pamoja kwenye kikosi cha Thunder na inaon-yesha kuwa West-brook atataka kurejea Cavaries sehemu ambayo alipatia umaarufu mkubwa. Hata hivyo wachambuzi wengi wa masuala ya kikapu wamesema kuwa staa huyo atasaini Lakers ambapo amekuwa akihusishwa napo mara kwa mara.

Post a Comment

 
Top