Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kama hujamwelewa Mheshimiwa Rais JPM basi ngoja nikusaidie tu. Hawa ndio wateule wake waliotajwa kwenye ripoti za Bunge.
1. Mbunge wa Kibakwe, Mheshimiwa George Simbachawene ni Waziri

2. Mbunge wa Namtumbo, Mheshimiwa Edwin Ngonyani ni Naibu Waziri.

3. RAS Manyara, ndugu Eliakim Maswi

Hawa wanatakiwa wajitathimini wenyewe na kukaa pembeni ili uchunguzi uendelee!!

Post a Comment

 
Top