Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Image result for hurricane irma 2017
Wakazi wa jimbo la Florida wakiondoka kutumia magari yao kujisalimisha na kimbuka Irma kilichaanzia kaskazini ya pwani ya Cuba na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha huku wengine wakiwa hawana mahali pa kukaa baadaya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mklai kuezua na kuharibu makaazi ya watu,
Image result for hurricane irma 2017
mti wa mnazi ukiwa umeanguka barabarani baada ya kushindwa kuhimili upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa kutokana na kimbunga Irma.
Image result for hurricane irma 2017
Wakaazi wa Florida wakijiandaa na kimbunga Irma kabda hakijileta madhara zaidi.

Image result for hurricane irma 2017Image result for hurricane irma 2017
Image result for hurricane irma 2017
Juu na chini ni makaadhi ya watu Cuba walivyoathirika kutokanana kimbunga Irma
Image result for hurricane irma 2017

Post a Comment

 
Top