Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi ametolea ufafanuzi kuhusu ajali iliyohusisha gari la Polisi lililokuwa limebeba Mahabusu kugongana na Toyota Vits kwenye Round about ya Samaki Mwanza ambapo ilisababisha majeruhi wawili; Askari Polisi na Mahabusu ambao tayari wameruhusiwa baada ya kutibiwa katika Hospital ya Mkoa Sekou Toure.

Post a Comment

 
Top