Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

‘Dawa ya Moto ni moto’. Saa chache baada ya staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, kushusha kichambo kinachodhaniwa kuwa ni ‘spesho’ kwa X- wake kwenye ukurasa wake wa Instagram, hatimaye X-wake huyo naye amemjibu kwa staili hiyohiyoVipi kwani mbona nasikia mtaa wa 3 povu kwani katajwa mtu? Msg ikishafikaga ukweli unaumaga nimechoka mwambie tena anayejifanya anakujua sana pambana na huba lako” ameandika X- wa Wolper.
Baada ya Wolper kuanza na X- wake kujibu, sasa mashabiki wamekaa mkao wa kula kwa kusubiri mashambulizi mengine kutoka kwa Diva huyo, maana ameshaahidi kwamba mtu akimuanza lazima ammalize.
NA ISRI MOHAMED/GPL

Post a Comment

 
Top