Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa Bongofleva kutoka record label ya WCB Harmonize usiku wa September 12 alipost video akiwa na mpenzi wake wa sasa Sarah katika ukurasa wake wa instagrama wakiwa pamoja wanapika tambi lakini video iliambatana na caption ambayo inadaiwa kuwa imemlenga mpenzi wake wa zamani, Jacline Wolper kutokana na kuachia wimbo mpya unadaiwa kumgusa.

Post a Comment

 
Top