Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msani wa filamu nchi kwajina la WOLPER ameibukaa vikari uko mitandaoni kwa kumshutumu EX wake wa zamani HARMONIZE ambaye anamilikiwa na kundi la WCB .
HARMONIZE baada ya kuachia ngoma mpya ambayo inaitwa NISHACHOKA mwana dada huyo kashindwa kumvumilia na kumtolea povu kali uku akimwambia bora muda wake angeweza kutumia kutumia na mpenzi wake mpya na sio kukaa na kuandika maisha yake kupitia nyimbo.

Post a Comment

 
Top