Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Idriss Slutan kupitia Instagram yake aliandika ujumbe ambao moja kwa moja uliwalenga wanaume ambao ni tegemezi kwa wanawake hawapendi kufanya kazi bali hupenda kulelewa na wanawake.Idriss katika Instagram yake aliandika“Nakazana na maisha vibaya sanaaa sio ili niwe tajiri kwenye malisti ya billionaires fobuz, ila ili nisije fikia hatua ya kubeba mapochi ya wamama wenye hela ili nile. Mnaoyaweza hayo maisha mna roho ya ziada mario-rohoz nawaheshimu sana kaka zangu” – Idriss Slutan.

Post a Comment

 
Top