Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
oja ya story iliyopo mtaani kuhusu Alikiba na Diamond kuhusu kurushiana maneno kwenye mitandao na nyimbo inadaiwa kuwa imetegenezwa kwa ajili ya msimu mpya wa Fiesta 2017 ndio maana imekuwa kubwa. Mwenyekiti wa Fiesta 2017, Sebastian Maganga ambaye amezungumza kuhusu kinachoendelea juu Alikiba na Diamond na ishu yao ya kutupiana maneno.

Post a Comment

 
Top