Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Jina la staa wa Bongofleva Diamond Platnumz limerudi kwenye headlines baada ya kuanza kuhusishwa kuwa mapenzini na mrembo kutoka Namibia Dilish Methew ambaye pia ni mshindi wa Big Brother Africa 2013.
Diamond na Dilish wanadaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi baada ya snap story zao kuonesha kama walikuwa eneo moja Zanzibar, kitu ambacho kimezidi kuibua maswali kuwa wapo mapenzi.

Post a Comment

 
Top