Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kufeli kielimu ama kutopata elimu kusikukatishe tamaa na kudhani labda umefeli kimaisha, Hapana!... Jitume na kueka Ubunifu kwa kila kibarua ama kazi yoyote utayoipata,
Weka Malengo na kuhifadhi kidogo ukipatacho kisha Muombe mwenyez Mungu, nae kesho atakunyanyua... Maana sio kila Mwenye Maendeleo Alifanikiwagwa kwenye Elimu... usisahau kuwa Mkimya, Mnyenyekevu na kuwapenda wote hata wakukusudiao Mabaya..

Post a Comment

 
Top