Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa Tottenham Hotspurs na timu ya taifa ya England Dele Alli anaweza kukumbana na adhabu kwa kitendo chake cha kuonesha kidole cha kati dakika ya 77 wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 katika ushindi wa 2-1 wa England dhidi ya Slovakia.
Dele Alli alionesha kidole cha kati ambacho kwa kawaida kinaashiria kama ni ishara ya kumtukana mtu fulani, licha ya kuwa kwa upande wake alisema ameonesha kwa lengo la kumuonesha mchezaji mwenzake wa EnglandKyler Walker aliyekuwa anacheza nae Tottenham.
Baadae Dele Alli aliandika ujumbe huu katika account yake ya twitter “Ngoja niweke sawa ishara yangu ya kuonesha kidole cha kati ilikuwa ni utani kati yangu na Kyler Walker ambaye ni rafiki yangu mzurinaomba radhi kwa hilo” 


Vi

Post a Comment

 
Top