Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilifanyika kwa mara ya kwanza Arusha katika msimu mpya wa 2017 ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye stage na miongoni mwao ni Weusi ambao waliperfom kisha baadae wakawafanyia wakazi wa Arusha Surprise baada ya mwimbaji Vanessa kupanda akichana wimbo wa Don’t Bother.

Post a Comment

 
Top