Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wiki moja iliyopita mchungaji Rudy Rasmus, alisema kuwa mwanamuziki Beyonce amefanya uchangiaji mkubwa kwa wahanga wa mafuriko ya Houston kwa kuwapeleka chakula na vinginevyo.
Mwanamuziki huyo aliongozana na mwanaye Blue Ivy, mama yake mzazi na rafiki yake wa karibu Michelle Williams pamoja na team ya BeyGOOD.

Beyonce aliwafariji wahangana hao ambao hawana makazi kwa kuwapatia mlo, kufurahi nao kwa kuwakumbatia na kuapiga picha za pamoja kama ishara ya kuwa nao katika kipindi hiki kigumu wanachopitia.
J

Post a Comment

 
Top