Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Related image
Rais Dkt Magufuli amewaagiza wateule wake wote waliotajwa katika ripoti za Almasi na Tanzanite, kukaa pembeni wapishe uchunguzi ufanyike.Katika ripoti 2 za bunge alizokabidhiwa mapema leo na Waziri mkuu Majaliwa zimewataja baadhi ya mawaziri, watumishi na wabunge akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. George Simbachawene, Eliakimu Maswi (Mb), Mbunge wa Jimbo la Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dkt. Medard KalemaniPia amesisitiza vyombo vya dola vianze uchunguzi mara moja
Hata hivyo Rais Magufuli amesema Prof. Abdulkadir Mruma ambaye pia ametajwa katika ripoti hizo alipandikizwa kwa maadui ili kuibua taarifa ya namna nchi inavyoibiwa

Post a Comment

 
Top