Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mpinzani mkubwa wa Kagame ameweza kuonekana pamoja na familia yake inasemekana walikuwa wamefungiwa sehemu na jeshi la polisi na mama wa Diana aliweza kusema kuwa atuogopi kusema na tutasema tu mpaka mwisho walikuwa wametufungia Polisi wanasema walikuwa wamewashikilia kutokana na kumhoji hujo binti kwani ana kesi ya kujibu kutokana na aliweza kufogi sahini za wazamini ambao walikuwa wameshakufa na kutaka maelezo zaidi kutoka kwao,
Diana ambaye ni mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Rwanda ameweza kusema atoweza kurudi nyuma kwani ataendelea na mapambano ya kupigania nchi yake kwani haki ya mtu aiwezi kupotezwa na mtu mmoja kwahiyo, Wameweza kusema uchaguzi umekwisha siku nyingi mbona toka kipindi kile walishindwa mkamata mpaka uchaguzi kupita ndio wanatusumbua nyumbani kila siku polisi ufika mazingira ya nyumbani mpaka siku ya kukamatwa maana tulikataa kufungua mlango ila waliweza kubomoa na kuweza kuingia ndani, Tukumbuke kuwa kipindi ambacho wamepotea na awatambuliki walipo polisi walikataa kusema wapo wapi?ila sasa wamekuja na kusema ana kesi baada ya rwanda na baadhi ya nchi za africa mashariki kupaza sauti ya kutaka kujua yupo wapi?pamoja na familia yake bila kupaza sauti ni kipi ambacho kingeweza kutokea, Mzazi wa Diana ameweza kutoa lawama kwa serikali na vyombo vya dola.

Post a Comment

 
Top