Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Siku 38 tangu mwimbaji wa kike wa Bongofleva Linah kujifungua mtoto wa kwanza July 25, 2017 kwa mara ya kwanza leo September 3, 2017 amepost kwenye Instagram yake picha ya mtoto huyo ambaye tangu alipozaliwa hakuwahi kufanya hivyo.Katika picha hiyo Linah ameandika>>>“Hello there so y’all were curious to see my lil Angel ayt??…. Now here we go, meet Tracey Paris my beautiful princess….. @paristraceyparis@kids_cityshopping” – Linah

Post a Comment

 
Top