Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Amber Lulu akifanya yake kwenye Tamasha la Full Dozi litakalofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akiendelea kufanya yake.
Akikata mauno mbele ya mashabiki zake.
…akiongea na mashabiki zake.
Msanii wa Bongo Fleva, Amber Lulu usiku wa kuamkia leo amewateka mashabiki kwenye Tamasha la Full Dozi litakalofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Post a Comment

 
Top