Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mdogo wa Tundu Lissu, Vicent Lissu.
Vicent Lissu, ni mdogo wa Tundu Lissu ambaye wamefuatana, kutoka kwa baba na mama mmoja, ambapo kufuatia tukio la kaka yake kupigwa risasi, amefunguka mengi ya moyoni kuhusu tukio hilo.
Vicent ameyasema hayo katika ibada maalum ya kum,uombea Lissu iliyofanyika kwenye kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Askofu Gwajima.
Vincent amesema Lissu ni mtu anayependa sana haki tangu wakiwa wadogo, kwa hiyo anajisikia vibaya kuona ndugu yake akiwa kitandani kwa sababu ya kutetea haki.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…

Post a Comment

 
Top