Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa Bongofleva Alikiba anayefanya vizuri na video ya wimbo wake wa mpya wa ‘Seduce Me’ ambayo imeweka rekodi ya kuwa video iliyoangaliwa zaidi Youtube Afrika katika kipindi kifupi baada ya video ya Wizkidkwa wasanii wa Afrika.Leo September 15 2017 alikuwa LIVE kwenye XXL ya Clouds FM na kuzungumzia vitu mbalimbali kuhusiana na muziki wake, ikiwemo stori za wimbo wa ‘Seduce Me’ na idea ya wimbo huo namna alivyoipata.

Post a Comment

 
Top