Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkali wa Bongo Fleva, Alikiba
MKALI wa Bongo Fleva, Alikiba amesema kuwa uzuri wa Wimbo wa Seduce Me ni kati ya vitu vinavyowafanya mashabiki wengi kuupenda. Alikiba ameyasema hayo mara baada ya kumaliza kufanya shoo ya Tigo Fiesta Arusha.
“Muziki mzuri na kuinjoy na hata mawasiliano na mashabiki, kujiamini ndiyo siri yangu ya kufanya muziki mzuri. “Seduce Me ni wimbo mzuri tena mkali ndiyo maana unapendwa,” alisema Alikiba.

Post a Comment

 
Top