Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mfanyabiashara Yusuf Manji ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 31, 2017 kujitetea katika kesi inayomkabili ya dawa za kulevya kutokana na sababu za afya.Hayo yamesemwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Cyprian Mkeha baada ya Wakili wa Serikali Timony Vitalis kusema kwamba kesi hiyo inaendelea na ushahidi ambapo hata hivyo, kesi hiyo haiendelea baada ya kutolewa taarifa ya Magereza kwamba Manji anaumwa na amepewa mapumziko ya kitanda.
Baada ya hayo kuelezwa, kesi imeahirishwa hadi September 18, 2017.

Post a Comment

 
Top