Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Moja ya stori inayoenea kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu hii ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ambaye hakuficha hisia zake na kuziweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye Instagram yake kuhusu Idriss Sultan.
Kama utakumbuka Wema na Idriss waliwahi kuwa mapenzini ambapo tangu kuachana kwao hapakuwa na stori zozote zilizowahusu wawili hao lakini leo kupitia Instagram yake Wema ameandika:>>>”Nikisema sitojivunia ntakuwa ni muongo na mnafki…Proud of you sana…Cant wait for these babies to launch…Im sure zitakuwa Killer…Cause one thing I know is that “Classy” defines you alot better than anything… #SultanXForemen… Goodmorning World.” – Wema Sepetu
Baada ya ujumbe huo wa Wema Sepetu, naye Idriss Sultan aliandika kwenye Instagram yake:>>>“MOOD: Unakuta kakuposti tu wakati mmekulana block hadi kwenye email … Dahhh we mwanamke utakuja uniue .. Thank you mke … Msishtuke, kwanzia lini mke anaachwa hata aolewe. Mungu Ibariki hii launch jamani #sultanXforemen” – Idriss.

Post a Comment

 
Top