Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wakimjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dkt. Tulia Akson.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige wakimjulia hali leo August 13.2017 ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.

Post a Comment

 
Top