Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers.Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo
Na hata jana birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Post a Comment

 
Top