Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Masanii kunako bongo fleva anayetamba na ngoma ya #sitoi_kikizuwena mohamed #Shilole amefunguka na kusema kwamba "muda aliokuwa amekaa kimya kabla ya sitoi kiki hakuwa amefulia bali kuwapa nafasi wasanii wa kike chipkizi ili nao wajitangaze kwenye soko... Amezidi kuwahasa na kusema kwamba wasichana wanaoingia kunako fani hizi wasibweteke wafanye kazi nzuri kukidhi mahitaji ya soko kwa sasa..
Nyinyi mabinti nasema na nyie mnaobweteka na kujirahisisha kwa sababu unatoka na meneja wa studio itakukost endelea kutoka na huyo director sijui kamela man sijui light man sijajua watakusaidia nn kwa miaka hii...Nateta nanyi msikie vimini vichupi ujinga acheni kulegeza legeza na kutanua sidiria acha kabisa maana utaishia kupigwa upupu pasipo msaada wowote mwisho wa siku utalea mimba na ukimwi tuu
nimesema na mabinti vipusa ngoma ngumu usiyojua kuicheza marimba hulia na kukupotezea mwelekeo gongwa basi pawe na matibabu sio gongwa ngo unaachwa mtaroni badilika binti kupusa njoo ktk njia nyoofu

Post a Comment

 
Top