Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

MSANII wa Miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa watu wajaribu kuziba midomo yao kutokana na ishu yake ya kudaiwa kutaka kuolewa na mwanaume wa mtu aitwaye Uchebe na kusema kuwa angekuwa wa mtu asingeenda kwake.
Shilole alisema kuwa anashangazwa na watu ambapo wakiona mtu yuko na mtu f’lan ndipo wanaibuka na madai tele kitu ambacho hakiwezi kumsumbua hata siku moja.
“Waseme wanavyoweza wala siwezi kutetemeka kwa hilo na sidhani kama naweza kuolewa na mume wa mtu na kama angekuwa mume wa mtu asingekuja kwangu,” alisema Shilole.

Post a Comment

 
Top