Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mrs Uchebe in the Future, Shilole amepinga vikali kauli zinazodai kuwa amewahi kuwa na ugomvi na msanii mwenzake Maua Sama, baada ya kumtumia aliyekuwa mpenzi wake Boy Caro katika video yake ya ‘Main Chick’.
Shilole kigori amekanusha taarifa hizo na kueleza kuwa hakuwahi kuwa na tatizo na msanii huyo amabye ni kama mdogo wake kwa kumtua kijana Caro katika video.Mimi Maua Sama ni mdogo wangu, kiukweli ananiheshimu sana ana nipenda sanam, sijawahi kugombana nai hii ndiyo kwanza nasikia kutoka kwako labda tu ni rumous amazo zinapita, lakini sijawahi kugombana na Maua Sama kwa ajili nya huyo kaka kufanya naye video it’s was so kama kazi yake ni ya umodel anaendela na kazi yake,” amesema Shilole.
Pia msanii huyo hakusita kueleza kuwa ifikapo mwezi wa tisa mwaka huu atakuwa na ziara yake ya kimuziki katika nchi ziliopo barani Ulaya.

Post a Comment

 
Top