Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Uefa Champions League msimu wa 2016-17 na ndiye mwanasoka bora wa Ulaya.
Ronaldo amewashinda Lionel Messi na Gigi Buffon wa Juventus na kufanikiwa kubeba tuzo hiyo.
Hata hivyo ilionekana tokea mapema, Ronaldo angebeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio aliyopata akiwa na Madrid kwa msimu wa 2016-17.

Post a Comment

 
Top