Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msanii wa hip hop Bongo Flava, Fid Q amesema huenda ikatoa remix nyingine ya ngoma ‘Fresh’.
Fid Q ambaye hapo jana alitoa remix ya ngoma hiyo kwa kuwashirikisha Diamond Platnumz na Rayvanny, kuwa sababu kuwaza mpango huo ni kutokana kuna baadhi ya wasanii walihitaji kuwepo katika remixNilipotoa Fresh ZaiiD aliniambia please kama utatoa remix na mimi niwepo, kwa hiyo ilipokuja kutokea hii nyingine siyo kama nimemsahau, hapana kuna mipango mingine inafanyika, huenda kukawa na remix nyingine lakini alinishtua kwamba nataka kuwepo na ni moja ya marapa ambao napenda sana michano yao na bila shaka hato-disappoint,” amesema.
Ngoma ya Fresh original ilitoka August 13 ambayo ilikuwa ni siku ya kumbukumbu yake ya kuzaliwa, video ya ngoma hiyo hadi sasa ina views 171,853 katika mtandao wa YouTube.

Post a Comment

 
Top