Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya kukaa takribani miezi mitatu akipatiwa matibabu nchini Uingereza hatimaye Rais wa nchini Nigeria, Muhammadu Buhari amewasili katika mji mkuu wa Abuja na kupokelewa na viongozi wa ngazi za juu wa taifa hilo wakiongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo.

Rais Buhari alikuwa katika matibabu kwenye moja ya hospitali nchini humo ambapo alilazwa kwa takriban miezi mitatu. Hata hivyo haiJAfahamika rAIS HUYO alikuwa akiugua ugonjwa gani.
Hii ni mara ya tatu kwa kiongozi huyo kwenda Uingereza kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Jumatatu ijayo kiongozi huyo anatarajiwa kuhutumia taifa hilo

Post a Comment

 
Top