Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Image may contain: 2 people, people standing and suit
​Rais Magufuli kupitia ukurasa wake rasmi amempongeza Rais Uhuru Kenyatta kuchaguliwa kuiongoza Jamhuri ya Kenya kwa muhula mwingine wa miaka 5. Amemtakia mafanikio mema.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (IEBC), Ndugu Wafula Chebukati usiku wa kuamkia leo alimtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa kiti cha Urais baada ya kupata kura 8,203,290 sawa na asilimia 54.27 ya kura zote huku mpinzani wake aliyegombea kupitia Muungano wa Upinzani wa NASA Ndugu, Raila Odinga akipata kura 6,762,224 sawa na asilimia 44.74 ya kura zote.

Post a Comment

 
Top