Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
ByRama Mwelondo TZA


onAugust 17, 2017
SHARE

Kama ni shabiki wa soka la Ulaya najua utakuwa hujapitwa na game ya jana ya marudiano ya Super Copa kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona game ambayo ilichezwa katika uwanja wa Santiago Bernabeu.Game hiyo ilimalizika kwa Real Madrid kupata ushindi wa magoli 2-0 na kutwaa taji la Super Copa kwa jumla ya magoli 5-1 baada ya game ya kwanza Nou Camp kushinda kwa magoli 3-1, baada ya kipigo hicho beki wa FC Barcelona Gerrard Pique amekiri kuwa walikuwa dhaifu.

Gerrard Pique
Pique amekiri kuwa ndio kwa mara ya kwanza kikosi chao anahisi kilikuwa dhaifu dhidi ya Real Madrid “Hii ndio mara ya kwanza nahisi tumekuwa wadhaifu mbele ya Real Madrid” >>> Gerrard Pique

Post a Comment

 
Top