Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Habari za bomoabomoa Dar zimeendelea kutanda kwenye anga la habari ambapo leo August 29, 2017 bomoabomoa imepita kwenye duka la mwimbaji wa Bongofleva Juma Jux ambalo lilikuwa linauza bidhaa zake za mavazi ya African Boy.Fatma ambae ni dada wa Jux alichukua video na kusema “Hii ndio hali niliyoikuta baada ya kufika dukani kwangu leo asubuhi, tumebomolewa bila kupewa taarifa yoyote…. vitu nilivyoweza kuvitoa ni hivi, kila kitu changu kimebomoka”
“Ni mgogoro uliokua kwa wenye nyumba wenyewe, nachukua hii video si kama nina nguvu ila najikaza… Wateja wangu mniwie radhi tutaendelea kuwasiliana kwa simu” – Fatma

.

.

.

.

.

.

.

.

.Post a Comment

 
Top