Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baada ya kuliamsha kuanza kuzungumzwa kila kona, Ommy Dimpoz ameamua kusikiliza ushauri kutoka kwa watu mbalimbali.
Msanii huyo ameamua kufuta picha aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Mama yake Diamond, Bi Sandrah na kuandika ujumbe mzito ambao watu wengi wamechukulia ni kama matusi kwa mama huyo na sio adui yake husika ambaye anapambana naye.

Baadhi ya watu walioonekana kukerwa na maneno ya Dimpoz ni meneja wake wa zamani, Mubenga, Nay wa Mitego na wengine.

Post a Comment

 
Top