Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baada ya ndoa yake kuingiwa na jini kisirani na kupelekea kuachana na mume wake , mwanamke huyu muingereza aliamua kufunga ndoa ya kifahari na Mbwa wake.
Mwanamke huyo aliejulikana kwa jina la Amanda Rodgers alifunga ndoa na mbwa wake ambae jina lake ni ShebaTukio hilo la kustaajabisha lilihudhuriwa na watu wasiopungua 200, kushuhudia ndoa hiyo.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 46 alisema " Sheba amekuwa katika maisha yangu kwa miaka mingi sana, ananifanya niwe na furaha na anatioa mawazo pale napokuwa na huzuni,sifikirii kitu kingine zaidi ya yeye kuwa ndie mwenza wangu wa maisha"Amanda aliolewa miaka 20 iliyopita na mwanaume, lakini ndoa yao ilidumu kwa muda mfupi sana,
Mwanamke huyo kwa sasa amebadilisha jina lake katika akaunti yake yaTwitter na anjiita @Shebarodgers

Post a Comment

 
Top