Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Picha hizi za Harmonize akiwa studio nchini Nigeria zimethibitisha kuwa ile colabo niliyomuliza sana Harmonize na msanii wa muziki Nigeria ‘Korede Bello’inafanyika sasa.
Itakuwa ni colabo bora sana Afrika sababu wasanii wote wawili wanatoka kwenye Lebo kubwa Afrika ‘WCB Wasafi’ ya Diamond Platnumz na ‘Mavin Records’ ya Don Jazzy.
Lebo zote zina mastaa wakubwa ukiacha wamiliki wake, WCB ina vichwa kamaRayvanny, Rich Mavoko, Queen Darlen, Huku Mavin ikiwa na watu kama Tiwa Savage,Reekado Banks


Post a Comment

 
Top