Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Moja ya story ambayo imekuwa gumzo sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu Mke wa Roma kupost picha na kuweka maneno ambayo yanaashiria furaha ndani ya moyo wake baada ya video ya ‘Zimbabwe’ ya Roma kufikisha views Milioni Moja.
Awali Mke wa Roma aliweka post ya ahadi aliyoiweka Roma kutopost chochote kwenye Instagram yake miezi takribani mitatu na kusema atapost endapo atafikisha views Milioni Moja.
Mke wa Roma ameandika>>”Ana Miezi 3 hajawahi kupost kitu chochote katika account yakeya @roma_zimbabwe @roma_zimbabwe Amesema hatapost kitu chochote mpaka video yake ifikishe Views 1 Million!! Na sasa ina Views 999K!! Sijui Picha Yako Ya Kwanza Utapost Nini!!?? I wish Unipost Hata Mimi Jomoni


Baada ya video ya Roma kufikisha views Milioni Moja Mke wa Roma akaweka post nyingine na kuandika>>>”Woooooooyoooooooooooooo!!!!!! Finally You Made It #1Milion_Views Ndani ya Week 1 Na siku 3!!! Walahi Mume wangu @roma_zimbabwe #LEO_NITAKUPA_STYLE_ZOTEKwa Furaha Niliyonayo!!! Hongera Mno!! Much Congrat kwa shemela @nicklassm Nakuona Mbali Saaana!!” –Mrs_roma2030

Post a Comment

 
Top