Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
August 9, 2017 kulikuwa na headline kutoka Mwanza ambazo zilieleza taarifa za mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Mapya uliopo Kata ya Mabatini, Mwanza kudaiwa kupigwa risasi na Askari Polisi na kumjeruhi.Sasa leo Majeruhi huyo Bi. Editha Lucas ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando ambako anapatiwa matibabu amefunguka na kusimulia tukio zima namna lilivyotokea baada ya ukuta wa nyumba yao kugongwa na gari.aliwapigia simu Polisi wengine wakasema wako mbali, wao wakawapigia Polisi wenzao kuwaambia waje kuangalia matukio. Walipofika nilikuwa ndani nikasikia makelele mume wangu analalamika ‘mnaniaua, mnanipasua mbavu’. Niliotoka nikakuta wanampiga, nikamtoa.” – Editha Lucas

Post a Comment

 
Top