Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Waswahili walisema penye wengi kuna mengi, msemo huu umejidhihilisha leo hapa jangwani sea breezy kwenye show ya WASAFI BEACH PARTY.
Jamaa mmoja ambae jina lake halijajulikana amekuwa maarufu muda mfupi baada ya kuvaa mavazi ya kitofauti kidogo na ilivyozoeleka kuwa kwenye show watu wanaenda wamevaa mitoko ya nguvu lakini jamaa aliamua kuvaa ki-old school hebu mcheki kwenye picha hapa chini,
F

Post a Comment

 
Top