Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Sierra Leone imeingia kwenye headlines mbalimbali duniani baada ya kuingia kwenye maombolezo makubwa kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Freetown.kuwa zaidi ya watu 300 wamefariki huku wasiwasi ukiongezeka kuwa zaidi ya watu 600 hawajulikani walipo.
Post a Comment

 
Top