Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya kupost picha maalum zake za ujauzito kufanya watu wamsakame, hatimaye mwanamitandao Faiza Ally amefanikiwa kupata mtoto wake wa pili.

Faiza ambaye awali alizaa mtoto wa kwanza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maaraufu kama Sugu ameweza kuongeza mtoto mwingine wa kiumea hata hivyo jina la mtoto huyo halijawekwa bayana pamoja na baba yake.Kupitia mtandao wa Instagram Faiza ameweka video fupi ya mtoto huyo akiwa hospitalini, na kuandika “ALHAMDULILLAH @lijunior_ well come to the world baby
Faiza amekuwa moja ya wanawake maarufu waliobahatika kupata mtoto ambapo tumeona mtu kama Millen Magessa na Linah Sanga.

Post a Comment

 
Top