Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ni siku moja tu tangu Mwigizaji staa Jacqueline Wolper kuhojiwa na Mtangazaji Millard Ayo kuhusu kuachana na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize na kufunguka kiundani sababu ya kuachana naye huku akimtaja Sarah ambaye ni mwanamke mpya wa Harmonize na wengine.
Sasa leo August 24, 2017 Harmonize ameamua kuandika maneno 16 kwenye Instagram yake yanayoashiria huenda ni majibu kwa mpenzi wake huyo wa zamani.
>>>”KUZUNGUMZIA VILIVYO PITA TENA KIUNDANI NI USHAMBA TUFANYE MAISHA AU MNASEMAJE WANANGU WA MTAA  2/9/2017″ – Harmonize

Post a Comment

 
Top